Saturday, March 08, 2014

Hii ni kwa Wanawake wote Duniani....

 Mwanamke ni Mtu muhimi sana Katika dunia hii maana yeye ameonekana kuwa chanzo cha mabadiliko mengi na makubwa Dunia,lakini kwasasa tunamuongelea mwanamke kama kiongozi na mleta mapinduzi makubwa Duniani..."Hongereni kina Mama kwa kuleta mabadiliko Dunia"...SIKU YA WANAWAKE DUNIANI...

No comments:

Post a Comment