Friday, January 10, 2014

Mambo ya fanya wewe kama kijana wa kizazi kipya..

Mambo ya kufwata wewe kijana wa leo.

 1. Jifunze kuweka akiba ya fedha.

2. Jitaidi utafute mchumba sahihi na mjitaidi mfunge Ndoa...

3. Acha kuishi nyumbani kwa wazazi anza kujitegemea na usiende 
kuishi na washikaji (mageto).

4 Lipa madeni yote ya zamani.

5 Jali sana Afya yako.

6. Kuwa na marafiki wenyechangamoto za maendeleo tena wanaotafuta maendeleo kwa njia halali za kumpendeza Mungu 
wetu.

7. Anza kununua asset kama ardhi,nyumba, gari,n.k.
8. Jifunze kuvaa kwa Heshma na sii tu suala la kupendeza.

9. Yazamani yote futa anza maisha mapya.

10. Achana na starehe zisizo na maana.


11. Zingatia sana Muda wako maisha ni malengo.

12. Hii ndio kubwa kuliko zote Tenga Muda wako wa kuongea na 
MUNGU usemezane nae useme shida zako ulipokosea Utubu usisahau kutoa Sadaka, kutoa fungu la kumi, kusaidia wasiyojiweza, na uwe ma moyo wa shukrani.

No comments:

Post a Comment