Wednesday, April 02, 2014

Angalia picha na habari kamili kuhusu Wizi wa vifaa vya Gari

Ni lilelile janga la wizi wa vifaa vya magari.Usiku wa kuamikia leo tarehe 2/4/2014 katika hoteli ya Royal Njombe ubungo darajani njia ya kuelekea Perfect vision. Ndipo wizi huo uliokithili hapa jijini ulifanyika, na mmliki wa Gari hilo alie julikana kwajina Waso na  aina ya Gari Toyota Premio yenye namba za uasajiri (T 918 CPD). Fwatilia picha hizi kwa uthibitisho zaidi.

                                                          Picha ikionyesha Gari zima

                                              Kioo kido cha mlango wa nyuma


                     Muonekano wa Nyuma wa Gari hiyo baada ya kunyakuliwa  Taa zote za nyuma

No comments:

Post a Comment