Tuesday, January 07, 2014

Nafasi kwa wale wenye uwezo wa kuigiza.

 Msanii Jacob Stephen

Msanii Jacob stephen a.k.a JB atoa nafasi za kuigiza kwenye Movies zake,Msanii huyo aliyasema hayo kipitia mtandao wa kijamii akisema"Habari njema kwa wote mnaotaka kujua ni jinsi gani mnaweza kujiunga au kupata nafasi ya kuigiza kwenye filamu zangu. Wasilianeni na kijana wangu atawapa maelekezo anaitwa Richard 0717061956."

No comments:

Post a Comment