Tuesday, December 31, 2013

Katika Diary ya Lady Jay dee Jumaapili hii......


Kwenye nyumba hii, ndani ya chumba chenye dirisha hilo linaloonekana, Mkoani Shinyanga ndipo nilipozaliwa kabla ya kupelekwa hospitali.....Kufuatilia historia ya nilipotoka
Usikose kuangalia Diary mpya ya Lady JayDee Jumapili ya kwanza ya mwaka 2014, Tarehe 5 January. EATV Pekee
Marudio kila Jumatatu saa 8:00 mchana na Alhamis 4:00 usiku

No comments:

Post a Comment