Monday, December 16, 2013

Lulu aludi kundini...


Msanii wa Bongo Movie Elizabeth Michael (LULU) atangaza kurudi kundini baada ya kupost picha yake  kwenye mtandao wa kijamii Instagram,ambayo alionekana katika mwonekano mpya wa kukata nywele fupi ambayo sio kawaida yake.

No comments:

Post a Comment