Monday, December 16, 2013

Shabiki Namba Moja wa Wema Sepetu

( Özil)
Shabiki huyu aliongea na Mimi leo juu ya Msanii wa Bongo Movie Wema Sepetu kuwa ni msanii wa kwanza wakike hapa nchini Tanzania ambae ana mkubali sana kwa ushujaa wake na kazi zake."Bwana Kwalazi mimi nimetokea kupenda kazi Wema Sepetu na ushujaa wake wa kazi na maisha anayoishi na ningependa kuona akifanikiwa zaid na zaid"....Alisema shabiki huyo.

No comments:

Post a Comment