Monday, December 16, 2013

Nifuraha ilioje kukutana nawe Tena Mch.Peter Mgaya..

Mchungaji Peter Mgaya (black suit) na Mkewe Mama Mgaya wakiwa na kwaya ya vijana kipawa.

Nifuraha iliyoje kukutana sote kwa pa1. Katika nyumba ya bwana tukimwabudu na kusifu. Na tukishukuru kwa wokovu wake.

No comments:

Post a Comment