Wednesday, July 29, 2015

Kinachoendelea Katika uchaguzi 2015/2016


Aliyekuwa mbunge wa kongwa na naibu spika wa bunge la JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA   bw j. ndugai amemshushia kipigo mgombea mwenzake wakiwa jukwaan kujinadi na kusababisha kuanguka na kuzimia kisha kukimbizwa hospital ya wilaya ya kongwa.


















Huyu Ndie Mgombea alietiwa kipondo

Jionee video ya kipondo Hicho

No comments:

Post a Comment