Wednesday, May 13, 2015

Kinachoendelea Burundi

Ripoti kutoka Bujumbura zinasema kuwa kamanda mmoja wa kijeshi ametangaza kuwa hamtambui tena rais Pierre Nkurunziza kama rais wa Burundi Jenerali Godefroid Niyombareh amewaambia waandishi wa habari mjini Bujumubura, kuwa kumeundwa kamati maalum ya kuiokoa Burundi itakayotawala taifa hilo kwa kipindi cha mpwito.Nitaendelea kuletea taarifa kamili pindi nitakavyozipata.

No comments:

Post a Comment