Saturday, December 07, 2013

Muigizaji Jackline Wolper anusulika kufa


Muigizaji Nguli Jackline wolper anusulika kufa baada ya kugonga ukuta na tank kubwa la maji na kama angeangukiwa nalo ingekuwa historia. Ila Mungu ibariki Tanzania,Mungu mbariki wolper AMIN......

No comments:

Post a Comment