Rais Obama aongoza dunia kutoa heshima za mwisho kwa hayati Nelson
Mandela katika uwanja wa michezo wa FNB nchini Afrika Kusini. Rais
Kikwete ni miongoni mwa marais zaidi ya 100 waliohudhuria tukio hilo la
kihistoria.Angalia video fupi hapa chini.
http://youtu.be/_WBoWoRZ20w

No comments:
Post a Comment